Posts

Showing posts from August 25, 2026

Dodoma CC 0-0 Nzega DC Football SHIMISEMITA

Image
 

Dodoma CC 34 - 6 Kyela DC SHIMISEMITA

Image
 

Dodoma CC 24-40 Bunda DC Basketball SHIMISEMITA

Image
 

Dodoma CC 30- 9 Rungwe DC Netball SHIMISEMITA

Image
 

Dodoma CC 8-9 Rungwe DC Handball (wanawake) SHIMISEMITA

Image
 

Dodoma CC Set 3-0 Moshi DC Mashindano ya SHIMISEMITA

Image
 

Dodoma CC 2-0 Kinondoni MC SHIMISEMITA

Image
 

Dodoma CC 9-4 Kwimba DC Handball (Me) SHIMISEMITA

Image
 

Dodoma CC Mpira wa Mikono Wanaume yaichakaza Kwimba DC magoli 9–5 na kutinga Nusu Fainali SHIMISEMITA

Image
Na. Mwandishi wetu, MBEYA   Timu ya Mpira wa Mikono ya Wanaume ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeonesha kiwango bora katika mashindano ya SHIMISEMITA yanayoendelea jijini Mbeya, baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 9–5 dhidi ya Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba katika mchezo wa robo fainali. Mchezo huo uliokuwa wa ushindani mkubwa na wenye mvuto mkubwa ulipigwa katika viwanja vya Shule ya Sekondari Samora, huku Timu ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma ikitawala mchezo na kutumia vema nafasi ilizopata hadi kufanikiwa kuondoka na ushindi huo muhimu.   Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Kocha wa Timu ya Mpira wa Mikono ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Felician Rocky alisema kuwa ushindi huo ni matokeo ya maandalizi mazuri, nidhamu na juhudi kubwa zilizofanywa na wachezaji wake. “Tumefanya vizuri katika mchezo huu. Wachezaji wameonesha moyo wa kupambana na kufuata maelekezo ya benchi la ufundi. Ushindi huu umetupa nguvu na kujiamini zaidi kueleke...

Wananchi washauriwa kushirikiana na wataalam wa Afya kufanikisha Kampeni ya Chanjo ya Polio

Image
Na. Mwandishi wetu, DODOMA Wananchi wametakiwa kushirikiana na wataalamu wa afya katika utekelezaji wa kampeni ya chanjo ya Polio itakayoanza tarehe 27-30 Agosti, 2026, zoezi hilo litafanyika nyumba kwa nyumba pamoja na katika maeneo yenye mikusanyiko ya watoto na katika vituo vya kutolea huduma za afya. Akizungumza katika kipindi cha Password ya leo kupitia Manyunyu TV, Mganga Mkuu wa Jiji la Dodoma, Dkt. Pima Sebastian alisema kuwa kampeni hiyo inalenga kuhakikisha hakuna mtoto anayekosa fursa ya kupata chanjo ya Polio. Aliongeza kuwa timu za afya zitawafikia watoto nyumbani. Maeneo mengine aliyoyataja kuwa yatafikiwa ni katika masoko, shule za msingi, vituo vya kulelea watoto na maeneo mengine yenye mikusanyiko ya watoto. “Kampeni yetu tutakwenda nyumba kwa nyumba. Yaani mtoto alipo na sisi tutakwenda, tunakwenda na ile ile dhana ya kuhakikisha hakuna mtoto tunamwacha, wananchi hawapaswi kusubiri timu za chanjo ziwafikie majumbani pekee, bali wanapaswa kujitokeza katika vituo v...

Timu ya Mpira wa Mikono ya Dodoma Jiji yatinga Robo Fainali SHIMISEMITA

Image
Timu ya Mpira wa Mikono ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika mashindano ya SHIMISEMITA baada ya kushika nafasi na kwanza katika hatua ya makundi ya mashindano hayo.

DODOMA CC-17-02 MISUNGWI DC MPIRA WA MIKONO WANAUME SHIMISEMITA

Image
 

KINONDONI MC YALALA 20 -0 KWA DODOMA CC KIKAPU WANAWAKE MASHINDANO YA SHIMISEMITA

Image
 

Meya Jiji la Dodoma atoa salamu za Maulid kwa wananchi

Image
 

DC Shekimweri atoa salamu za Maulid wilayani Dodoma

Image
 

Mkurugenzi Jiji la Dodoma atoa salamu za Heri ya Maulid

Image
 

Ukarabati Soko la Majengo washika kasi

Image