Posts

Showing posts from February 5, 2025

Miaka 48 ya CCM Uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Image
 

Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wakiwa katika Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM

Image
  Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wakiwa katika maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi

Maelfu ya wananchi wa viunga vya Jiji la Dodoma wajitokeza kwa wingi katika kuadhimisha Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi

Image
  Maelfu ya wananchi wa Jiji la Dodoma na viunga vyake wajitokeza kwa wingi katika kuadhimisha  Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi y aliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akiteta jambo katika Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi

Image
  Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Alhaj Jabir Shekimweri akiteta jambo katika Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma