Posts
Showing posts from March 26, 2024
Mkuu wa Shule ya Mkonze afurahia shule mpya ya Sekondari Michese
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Mkazi wa Michese amuelewa Rais Samia
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mpamaa atoa shukrani kwa Mama Samia
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Mkuu wa Shule ya Sekondari Miyuji B atoa pongezi kwa Rais
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Mkuu wa Shule ya Sekondari Miyuji B aongelea faida ya shule
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Nukuu ya Mwl. Mwakisambwe akiwa Miyuji Sekondari
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Kauli ya Mwl. Fredrick Mwakisambwe Shule ya Sekondari Miyuji B
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Rais Dkt. Samia atoa shilingi 544,225,626 ujenzi shule ya Sekondari Michese
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Na. Dennis Gondwe, MKONZE RAIS, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha shilingi 544,225,626 kujenga Shule mpya ya Sekondari Michese ili kupunguza msongamano katika Shule ya Sekondari Mkonze na kuwapunguzia wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya elimu. Muonekano wa Shule ya Sekondari Michese Kauli hiyo ilitolewa na mwakilishi wa Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Mwl. Fredrick Mwakisambwe alipoongoza waandishi wa habari kutembelea Shule mpya ya Sekondari Michese iliyojengwa katika Kata ya Mkonze jijini Dodoma. Mwl. Mwakisambwe ambae ni Afisa Elimu Vifaa na Takwimu katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma alisema “ndugu waandishi wa habari, tupo Kata ya Mkonze eneo la Michese. Eneo hili ni moja ya maeneo yaliyonufaika na kujengwa shule mpya ya sekondari. Kata ya Mkonze ina idadi kubwa ya wananchi na kwa muda mrefu ilikuwa na shule moja ya sekondari ya kata. Mwaka huu 2024 idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika kata...
Ujenzi wa Shule ya Sekondari Miyuji B waweka historia
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Na. Mwandishi Wetu, SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka historia kwa kujenga Shule ya Sekondari Miyuji B na kuwasaidia wanafunzi waliokuwa wakitembelea umbali mrefu kufuata elimu katika Kata ya Mnadani. Mwl. Fredrick Mwakisambwe akielezea shule ya Sekondari Miyuji B Kauli hiyo ilitolewa na mwakilishi wa Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari, Mwl. Fredrick Mwakisambwe alipokuwa akiongea na waandishi wa habari waliotembelea shule hiyo kujionea mafanikio ya miaka mitatu ya serikali ya awamu ya sita katika Shule mpya ya Sekondari Miyuji B iliyopo Kata ya Miyuji jijini Dodoma. Mwl. Mwakisambwe ambae pia Afisa Elimu Vifaa na Takwimu katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma alisema kuwa shule hiyo imekamilika ikianza na wanafunzi wa kidato cha kwanza. “Ni mara ya kwanza katika hitoria ya Kata ya Miyuji kuwa na shule ya sekondari. Watoto wameteseka kwa muda mrefu kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya elimu. Tunamshukuru sana mheshimiwa Rais, Dkt....