MATUKIO KATIKA PICHA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JKT
.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati wa Wimbo wa Taifa ukiimbwa katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) tarehe 10 Julai, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la H...