CANADA YATOA BILIONI 240 KWENYE MFUKO WA AFYA WA PAMOJA

Na. Mwandishi wetu, DODOMA Serikali ya C anada imetoa kiasi cha s hilingi Bilioni 240 kwenye Mfuko wa Afya w a pamoja (Health Basket Fund) ili kusaidia s ekta ya Afya nchini. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Waziri wa Afya , Ummy Mwalimu a libainisha hayo Julai 20, wakati wa mkutano wa utekelezaji wa shughuli za Mfuko wa Afya wa p amoja (Health Busket Fund) na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada j ijini Dodoma. “Tunaishuku sana Serikali ya C anada kupitia Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa C anada , Mhe shimiwa Harjit Sajjan i kwa kusaidia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kiasi cha shilingi Bilioni 240 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya”, a lishukuru Waziri Ummy . Aidha, alieleza kuwa kati ya kiasi hicho shilingi Bilioni 140 zinaingia serikalini kwa ajili ya kuchangia M fuko wa A fya wa Pamoja . Serikali i li shapokea kiasi cha shilingi Bilioni 94 ambazo zimeelekezwa kwenye akaunti za ngazi ya msingi ambazo ni zahanati na vituo vya afya nchin...