Posts

Showing posts from August 13, 2026

Dodoma Jiji imejipanga!

Image
 

Jiji la Dodoma kushiriki SHIMISEMITA jijini Mbeya

Image
 

Timu ya Watumishi Dodoma Jiji kushiriki Mpira wa Kikapu SHIMISEMITA

Image
 

Timu ya Watumishi Jiji la Dodoma inayoshiriki SHIMISEMITA yatakiwa kurejea na ushindi

Image
Na. Lulu Luvanda, DODOMA Timu ya watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma itakayoshiriki Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) wametakiwa kulitangaza vema jiji hilo katika michezo kwa kuzingatia nidhamu na misingi ya utumishi wa umma na kurejea na ushindi.   Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko wakati wa tukio la kuwaaga wanamichezo hao watakaoshiriki michezo ya SHIMISEMITA jijini Mbeya.   Akizungumza katika hafla ya kuwaaga wachezaji hao iliyofanyika katika ukumbi wa halmashauri jijini Dodoma, alisema kuwa mashindano hayo ni fursa ya kulitangaza Jiji la Dodoma kupitia michezo, huku akiwataka wachezaji kuzingatia nidhamu, maadili na misingi ya utumishi wa umma.   Alitumia hafla hiyo kumpongeza Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa, Neema Kilongola kwa mchango wake katika kuimarisha michezo ndani ya halmashauri hiyo, akisisitiza kuwa mafanikio ya ...

Timu ya Jiji la Dodoma yatakiwa kuzingatia uzalendo michezo ya SHIMISEMITA

Image
Na. Mwandishi wetu, DODOMA   Jumla ya wanamichezo 60 wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, wakiwemo makocha wanne, wametakiwa kuzingatia nidhamu na uzalendo katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) yanayofanyika mkoani Mbeya ili kulinda hadhi ya makao makuu.   Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko katika hafla fupi ya kuwaaga wanamichezo hao iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri.   Aliwataka kuitumia michezo hiyo kuiwakilisha Dodoma kwa nidhamu, uzalendo na kujiamini, wakitambua kuwa wanatokea makao makuu ya nchi. “Nendeni mkifahamu kuwa mnatokea makao makuu ya nchi. Nendeni mkalete tabasamu kwa Watanzania na si huzuni, maana Dodoma ni fahari ya Watanzania. Nidhamu ni miongoni mwa sababu zilizochangia mafanikio ya mwaka jana. Hivyo, dumisheni nidhamu, kufuata misingi ya utumishi wa umma na kulinda hadhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma,” alisema Dkt. ...