Posts
Showing posts from May 8, 2025
Bado Siku 8 Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura Awamu ya Pili
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Wananchi wa Kata ya Mtumba wanufaika na Mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Na. Leah Mabalwe, MTUMBA Kata ya Mtumba, Halmashauri ya Jiji la Dodoma yapatiwa jumla ya shilingi 83,000,000 kwaajili ya mikopo ya asilimia 10 kwa makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa lengo la kuwainua kiuchumi na kuboresha maisha yao. Afisa Maendeleo ya Jamii Kata ya Mtumba, Huruma Mwigune Hayo yalielezwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Kata ya Mtumba, Huruma Mwigune wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea miradi ya maendeleo katika kata hiyo. Alisema kuwa wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri imewawezesha kuendesha maisha na kukuza kipato. “Katika wanufaika wa mikopo ya asilimia 10, Kata ya Mtumba ni miongoni mwa kata ambayo imenufaika na mkopo wa jumla ya shilingi 83,000,000 kuanzia mwaka 2021 hadi 2025. Mkopo ulitolewa kwa baadhi ya vikundi vilivyokidhi vigezo na kikundi kimojawapo ni kikundi cha wanawake Ngalawa kinachojishughulisha na ushonaji. Kwa kweli mkopo huu unatunufaisha kwa kiasi kikubwa tumejikita ...
Ujenzi wa miundombinu ya Barabara yarahisisha usafiri kwa wananchi Mtumba
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Na. Leah Mabalwe, MTUMBA Kata ya Mtumba yanufaika na ujenzi wa barabara pamoja na kalavati kwa gharama ya shilingi 73,000,000 kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa usafiri na usafirishaji katika eneo hilo. Diwani wa Kata ya Mtumba, Edward Maboje Hayo yalielezwa na Diwani wa Kata ya Mtumba, Edward Maboje alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea kata hiyo kuona miradi ya maendeleo mbalimbali iliyotekelezwa na serikali kwa kipindi cha miaka minne. Diwani Maboje alisema kuwa kata yake imepata miundombinu mizuri ambayo inasaidia usafiri kupatikana kwa urahisi. “Katika kata hii ya Mtumba tulikuwa na changamoto ya ubovu wa barabara kwa kiasi kikubwa, hususan barabara za Mtaa wa Vikonje pamoja na barabara kutoka Mtumba Kibaoni hadi Shule ya Msingi Mtumba na hali hii ilikuwa ikiwapa changamoto wakazi wa mtaa huo kwasababu hapo mwanzo mvua zilipokuwa zikinyesha watu walikuwa wakipata shida kuvuka na kwenda sehemu nyingine” alisema Maboje. Aliongeza kuwa wananchi wa Kata...