Posts
Showing posts from October 21, 2025
Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma awatakia Heri Watahiniwa Darasa la IV
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Watahiniwa 19,176 Darasa IV kupimwa Jiji la Dodoma
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Na. Nancy Kivuyo, DODOMA Maandalizi ya Mtihani wa Upimaji Kitaifa kwa Darasa la Nne (SFNA) utakaofanyika tarehe 22-23 Oktoba, 2025 yamekamilika ambapo Halmashauri ya Jiji la Dodoma yenye shule 174 kati ya shule 188 za msingi zitashiriki kufanya mtihani huo. Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi, Mwl. Prisca Myalla alisema kuwa kati ya watahiniwa 19,176 wasichana ni 9,654 sawa na asilimia 50.4 huku wavulana wakiwa 9,522 ambao sawa na asilimia 49.6 Aliongeza kuwa maandalizi yote yamekamilika na miundombinu ni rafiki kwa watahiniwa wote. “Maandalizi yamekamilika, tunasubiri muda ufike ili watahiniwa wetu wafanye mitihani yao vizuri bila changamoto yoyote. Vituo vyote vitakavyotumiwa ni salama kabisa kwa mantiki hiyo niwakumbushe wazazi kuwaandaa watahiniwa vizuri lakini pia nao walengwa wajiandae” alisema Mwl. Myalla. Nae, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko aliwatakia heri na baraka watahiniwa wote wa mtihani huo. Aidha, aliwataka walimu k...