Posts

Showing posts from April 7, 2025

Bado siku 18 Mwenge wa Uhuru uingie Jiji la Dodoma

Image
 

Kheri ya Kumbukizi ya Karume

Image
 

Zimebaki Siku 19 Kupokea Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Dodoma

Image
 

Global Affairs Canada yafurahishwa na utekelezaji wa Mradi wa AHADI katika Kata ya Chamwino

Image
  Kata ya Chamwino, imepokea ugeni kutoka Global Affairs Canada ukiongozwa na Mary Harasym aliyeambatana na Zahra Popatia ambao ni wafadhili wa mradi wa AHADI na kueleza kuridhishwa na utekelezaji wa mradi huo. Lengo la ziara hiyo ni kufanya tathimini na kujionea kwa macho namna mradi unavyotekelezwa hususan utoaji wa elimu kuhusu maswala ya Afya ya uzazi kwa vijana wa Kata ya Chamwino. Kwa upande ā€˜Promoterā€™ wa mradi, Khadija Ally alitoa maelezo ya kina kuhusu shughuli zinazofanyika na mafanikio yaliyopatikana kwa vijana kushiriki kwenye mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kuhusu maswala Afya ya uzazi, kujikinga dhidi ya mimba zisizotarajiwa na kuwa na mipango bora ya maisha ya baadae pamoja na kuwajengea uwezo wa kuwa na shughuli za kuingiza kipato. Afisa Mtendaji wa Kata ya Chamwino, kwa niaba ya Diwani aliwashukuru wageni hao kwa kuitembelea Kata ya Chamwino na kusema kuwa mradi wa AHADI ni kielelezo kizuri cha ushirikiano baina ya kata yake...