Posts

Showing posts from August 3, 2026

Ufugaji wa Ng'ombe aina ya Friesian njia bora ya kuongeza kipato

Image
  Na. Mwandishi Wetu, DODOMA Wananchi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamehimizwa kuwekeza katika ufugaji wa ng ’ ombe wa maziwa aina ya Friesian kama njia ya kuongeza kipato, kuimarisha usalama wa chakula na kuinua uchumi wa familia kupitia uzalishaji wa maziwa. Akizungumza katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Dkt. John Malecela (Nzuguni), Afisa Mifugo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Frank Mosses alisema kuwa ng ’ ombe aina ya Friesian ni miongoni mwa mifugo yenye tija kubwa kutokana na uwezo wake wa kuzalisha maziwa kwa wingi endapo atatunzwa kwa lishe bora, maji ya kutosha na usimamizi sahihi. “ Tunatoa elimu kwa wananchi kuhusu ufugaji bora wa ng ’ ombe wa maziwa aina ya Friesian, hususan namna ya kuwapatia lishe sahihi, chanjo,   maji safi na mazingira bora ya kuishi ili kuongeza uzalishaji wa maziwa. Lengo ni kuwasaidia wafugaji kupata tija na kuboresha maisha yao kupitia ufugaji wenye ufanisi na watija, ” alisema Mosses. Kwa upande ...

Kuku aina ya Ayam Cemani na Brahma kuongeza kipato na usalama wa chakula Dodoma

Image
Na. Mwandishi wetu, DODOMA   Ufugaji wa kisasa wa kuku umeendelea kujitokeza kama fursa yenye tija ya kuongeza kipato na kuimarisha usalama wa chakula, huku wananchi wakionesha hamasa kubwa ya kujifunza mbinu bora za kufuga kuku wa kisasa aina ya Ayam Cemani na Brahma wenye faida nyingi kiuchumi.   Akizungumza katika maonesho hayo, Mtaalamu wa Kilimo na Mifugo wa Jiji la Dodoma, Christopher Magesa alisema kuwa Kuku aina ya Ayam Cemani amekuwa akiwavutia wananchi wengi kutokana na rangi yake nyeusi inayotanda sehemu kubwa ya mwili wake, ikiwemo manyoya, ngozi na mayai yake. "Mbali na kuwa kuku wa mapambo, Ayam Cemani ni rahisi kufugwa kwa sababu ni mpole na ana thamani kubwa sokoni kutokana na sifa zake za kipekee" alisema Magesa. Aliongeza kuwa wapo pia kuku aina ya Brahma ambapo pia wameendelea kuvutia wafugaji kutokana na umbo lao kubwa, manyoya yanayofunika hadi miguuni na uwezo mzuri wa kuzalisha nyama na mayai. "Kwa usimamizi bora, Brahma ana uwezo wa kutaga...

FRIESIAN: NG'OMBE WA MAZIWA MWENYE MVUTO NANENANE

Image
 

ANGLO NUBIAN: MBUZI WA MAZIWA MWENYE TIJA

Image
 

ZERO GRAZING KICHOCHEO CHA UZALISHAJI MAZIWA KWA WINGI

Image
 

UZAO WA KUKU AINA YA AYAM CEMANI KIVUTIO NANENANE

Image
 

KUKU AINA YA AYAM CEMANI WAVUTIA WAGENI BANDA LA MIFUGO JIJI LA DODOMA

Image
 

Banda la Mifugo Jiji la Dodoma kivutio Maonesho ya Nanenane, 2026

Image
 

Kliniki ya Macho katika Zahanati ya Mpunguzi tarehe 10-14 Agosti, 2026

Image