Posts

Showing posts from August 17, 2026

Magu DC yalazimisha sare dhidi ya Dodoma CC Handball SHIMISEMITA

Image
 

Dodoma Jiji 28-07 Kibaha DC Basketball SHIMISEMITA

Image
 

Kibaha DC yaangukia pua dhidi ya Dodoma CC Basketball SHIMISEMITA

Image
 

MEMKWA daraja kwa watoto waliokosa elimu rasmi

Image
Na. Mwandishi wetu, DODOMA   Wananchi wa Jiji la Dodoma wametakiwa kuhakikisha watoto waliokosa kuanza elimu rasmi kwa wakati hawabaki nyuma, bali watumie fursa ya Elimu ya Watu Wazima na Mfumo wa Elimu Nje ya Mfumo Rasmi (MEMKWA) kupata elimu na kujenga msingi bora wa maisha yao.   Wito huo ulitolewa na Mwenyekiti wa Maafisa Elimu Jiji la Dodoma, Yassin Mponda katika Maadhimisho ya Wiki ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi (MEMKWA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mapumziko vya Nyerere Square, ambapo shughuli mbalimbali zinaendelea kuanzia tarehe 17 hadi 21 Agosti, 2026.   Mponda alisema kuwa elimu ya watu wazima ina nafasi kubwa katika kuwapatia wananchi waliokosa fursa ya elimu rasmi uwezo wa kusoma, kuandika, kuhesabu pamoja na kupata ujuzi unaowawezesha kujitegemea na kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii.   Aliongeza kuwa mtoto anayepaswa kuanza Darasa la Kwanza akiwa na umri wa miaka sita, lakini akakosa fursa hiyo na baad...

Mahitaji Maalumu Hombolo Bwawani wakumbukwa

Image
  Walimu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametembelea Kitengo cha Watoto Wenye Mahitaji Maalum katika Shule ya Msingi Hombolo Bwawani na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa watoto hao. Ziara hiyo imelenga kuonesha upendo, kujali na kuimarisha ushirikiano katika kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalum kupata mazingira bora ya kujifunzia na kukua.