Posts

Showing posts from August 12, 2026

Timu ya Watumishi Jiji la Dodoma waagwa kuelekea SHIMISEMITA

Image
  Timu ya Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, inayokwenda kushiriki SHIMISEMITA, 2026 jijini Mbeya   imeagwa rasmi na Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma katika ukumbi wa halmashauri. Katika hafla hiyo, uongozi umeihimiza timu hiyo kwenda kushiriki kwa nidhamu, umoja, ari na ushindani wa hali ya juu, ili kuiwakilisha vema Halmashauri na Jiji la Dodoma na kurudi na ushindi wa kishindo.