Jiji la Dodoma washiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi ngazi ya mkoa

Baadhi ya wataalam wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza mwendo kuelekea Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kushiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika ngazi ya mkoa. Kaulimbiu ni " CHAGUA NJIA SAHIHI, TOKOMEZA UKIMWI "