Dodoma CC yaichakaza Kibaha DC Vikapu 28-7

Timu ya Mchezo wa Mpira wa Kikapu ya Wanaume ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma iliichakaza Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kwa vikapu 28-7 katika Michezo ya Shirikisho la Michezo ya Serikali za Mitaa Tanzania (SHMISEMITA) inayoendelea jijini Mbeya.




Comments

Popular Posts

Polisi Kata waungana zoezi la Usafi wa Mazingira Dodoma

DC Shekimweri afanya ukaguzi wa usafi Kata ya Kizota

Dodoma kuanza awamu ya pili ya Kampeni ya Chanjo ya Polio tarehe 29 Septemba, 2026