Tunduma yalala Seti 2-0 kwa Dodoma CC

 

Halmashauri ya Dodoma la Jiji iliendeleza kasi kwenye mchezo wa Mpira wa Wavu kwa Wanaume, ikiichapa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduma kwa seti 2-0. Seti ya kwanza ilimalizika kwa 25-1, kabla ya Dodoma Jiji kushinda seti ya pili kwa 25-7 katika Michezo ya Shirikisho la Michezo ya Serikali za Mitaa Tanzania (SHMISEMITA) inayoendelea jijini Mbeya.



Comments

Popular Posts

Polisi Kata waungana zoezi la Usafi wa Mazingira Dodoma

DC Shekimweri afanya ukaguzi wa usafi Kata ya Kizota

DC Shekimweri agawa tisheti kwa wananchi waliojibu maswali ya usafi