Dodoma CC yalazimishwa sare Mpira wa Mikopo SHIMISEMITA

Timu ya Mpira wa Mikono ya Wanaume ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma ililazimishwa sare ya 5-5 dhidi ya Halmashauri ya Wilaya ya Magu katika Michezo ya Shirikisho la Michezo ya Serikali za Mitaa Tanzania (SHMISEMITA) inayoendelea jijini Mbeya.

 



Comments

Popular Posts

Polisi Kata waungana zoezi la Usafi wa Mazingira Dodoma

DC Shekimweri afanya ukaguzi wa usafi Kata ya Kizota

DC Shekimweri agawa tisheti kwa wananchi waliojibu maswali ya usafi