Posts
RC Senyamule azindua Kampeni ya changia Damu jijini Dodoma
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule akiongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dodoma kwenye "Rudisha Tabasamu kwao Jogging"
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
RC Senyamule akiongea na mamia ya wakazi wa Dodoma walioshiriki Jogging "Rudisha Tabasamu kwao" Chinangali Park
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Watoto kulindwa dhidi ya ukatili wa kijinsia wilayani Dodoma
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Na. Asteria Frank, DODOMA Afisa Ustawi wa Jamii wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Rachel Balisidya amewataka wazazi kuwalinda watoto wao dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia na kuhakikisha wanaweza kutimiza ndoto na malengo yao kwa kuzuia madhara yanayoweza kuwaharibia maisha kisaikolojia. Mwakilishi wa Katibu Tawala Wilaya ya Dodoma ambae ni Afisa Ustawi wa Jamii wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Rachel Balisidya akihutubia katika Tamasha la (TASHMEKU) Wito huo aliutoa leo alipomuwakilisha Katibu Tawala wa Wilaya ya Dodoma kwenye Tamasha la Tanzania Shiriki Malezi Endelevu Kupinga Ukatili (TASHMEKU) katika Shule ya Sekondari Dodoma Makulu kwa lengo la kupinga ukatili wa kijinsia kwa watoto. Balisidya alisema kuwa Wilaya ya Dodoma bila ukatili inawezekana. Alisema kuwa ipo changamoto ya ukatili kwa watoto na asilimia kubwa ya ukatili inaanzia nyumbani kupitia baba, mama, mjomba, mwalimu na wale wanaowazunguka na kuwaharibu watoto kisaikolojia kwa kuwatesa, kubakwa na kuwanyim...
Wasimamizi miradi Jiji la Dodoma watakiwa kuwa wazalendo
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Na. Faraja Mbise, DODOMA Wasimamizi wa miradi ya ujenzi katika Shule ya Sekondari Matumbulu wametakiwa kuwa wazalendo na kutokwamisha juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kukamilisha miradi hiyo kwa wakati. Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, alipokuwa akikagua miradi ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Matumbulu iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma. “Matamanio ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuleta hizi shule ni kwasababu watoto wasitembee umbali mrefu. Bado sisi Mkoa wa Dodoma tuna utoro na baadhi ya changamoto inayochangia utoro ni watoto kutembea mwendo mrefu kwenda shule. Kwahiyo, anaona fahari asiende shuleni. Lakini tuna ukatili wa kijinsia, kati ya maeneo ambayo watoto wanafanyiwa ukatili ni akiwa anaenda shuleni, wanapita maporini kwasababu ya umbali mrefu, yote haya Rais ametaka ayamalize kwa kuwajengea shule karibu na eneo lao” alisema Senyamule. Kwa upande wak...
Viwanja vya Kikombo Vinauzwa rasmi
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Mamia wajitokeza Kilele Siku 16 za Kupinga Ukatili Jiji la Dodoma
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
RC Senyamule ahitimisha Siku 16 za Kupinga Ukatili Dodoma
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Miaka 63 ya Uhuru, watanzania waaswa kutunza na kuthamini Uhuru
- Get link
- X
- Other Apps
By Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma
Na. Faraja Mbise, DODOMA Watanzania wameaswa kutunza na kuthamini uhuru kwa kufanya mambo yanayoleta amani na usalama wa nchi, ili kufurahia matunda ya uhuru yaliyopatikana ndani ya miaka 63 tangu tarehe 09 Desemba, 1961. Hayo, yalisemwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, alipokuwa akizungumza na mamia ya wananchi waliohudhuria katika kilele cha Maadhimisho ya M iaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika katika makutano ya Barabara ya Mzunguko (Ring Road) katika Kata ya Makutupora, jijini Dodoma. Senyamule alisema “ i li uhuru huu tuendelee kuufurahia na kuuenzi, kwanza tuhimize amani na usalama wa nchi yetu kwasababu ni msingi wa mafanikio. Huu uhuru tunausherekea kwasababu bado tunaulinda, usije ukafikiri ukipata uhuru ndio imeisha, unaweza ukapata uhuru na baadae ukapotea tena kwasababu unaweza ukaingiliwa. Tuendelee kutunza kwa kufanya mambo ya amani na utulivu” Akizungumzia mafanikio yaliyopatikana katika Mi aka 63 ya Uhuru, aligusia mafanikio mbalimbali k...