Timu ya Watumishi Jiji la Dodoma waagwa kuelekea SHIMISEMITA

 

Timu ya Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, inayokwenda kushiriki SHIMISEMITA, 2026 jijini Mbeya  imeagwa rasmi na Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma katika ukumbi wa halmashauri.



Katika hafla hiyo, uongozi umeihimiza timu hiyo kwenda kushiriki kwa nidhamu, umoja, ari na ushindani wa hali ya juu, ili kuiwakilisha vema Halmashauri na Jiji la Dodoma na kurudi na ushindi wa kishindo.

Comments

Popular Posts

Polisi Kata waungana zoezi la Usafi wa Mazingira Dodoma

DC Shekimweri afanya ukaguzi wa usafi Kata ya Kizota

Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Wilaya ya Dodoma lapata viongozi wapya kwa miaka mitatu