Wataalam Ilemela MC wajifunza mfumo wa utenganishaji taka Dodoma Jiji

 

Wataalam kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela wamefanya ziara ya mafunzo ya mbinu bora za usimamizi wa usafi wa mazingira hasa mfumo wa kutenganisha taka na kuona vihifadhio vinavyotumika kutenganishia taka katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma.

Ziara hiyo ya mafunzo ilijifunza jinsi kampuni maalum ya kutekeleza miradi (SPV) ya halmashauri inavyotumika kutekeleza miradi ya maendeleo na kutembelea miradi inayotekelezwa ya Bustani ya Mapumziko ya Chinangali na Duka kuuza vifaa vya ujenzi.

Comments

Popular Posts

Wafanyabiashara Soko la Miembeni Waazimia Kulinda Usafi

Baraza la Madiwani Jiji la Dodoma lapitisha taarifa ya ufungaji hesabu 2025/2026

Wilaya ya Dodoma kuchanja watoto zaidi ya laki 2 chanjo ya Polio