Maafisa kutoka Kanda Namba Nne wakípima bango kwaajili ya kutathmini kodi ya bango kwa mujibu Sheria ndogo ya Ada na Ushuru wa Mabango na Matangazo ya Mwaka 2017.

Sambamba na hilo wanaendelea kutoa elimu ya ulipaji kodi kwa wananchi wanaowatembelea ili kuhakikisha halmashauri inakusanya mapato stahiki
Comments
Post a Comment