Dodoma Jiji yajiandaa Ngoma na Kwaya SHIMISEMITA, 2026

  

Watumishi wa Timu ya Halmasahuri ya Jiji la Dodoma inayoshiriki Mashindano ya SHIMISEMITA 2026 jijini Mbeya wanaendelea na kujifua katika mazoezi makali kwa ajili ya mashindano ya ngoma na kwaya, mazoezi yanayoendelea katika viwanja vya Shule ya Sekondari Dodoma.

Mashindano ya SHIMISEMITA ya Mwaka 2026 yanaongozwa na kaulimbiu isemayo “Tupo Tayari kwa AFCON 2027”.

 








Comments

Popular Posts

Barabara za Mtaa wa Mbwanga yafunguliwa, Diwani Kerenge aitaja kuwa chachu ya maendeleo