Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Kanda Namba Mbili ambapo wakati wa ukaguzi walisisitiza ubora, thamani ya fedha na kasi ya utekelezaji kwa manufaa ya wananchi.
Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Jiji
la Dodoma imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Kanda Namba Mbili
ambapo wakati wa ukaguzi walisisitiza ubora, thamani ya fedha na kasi ya
utekelezaji kwa manufaa ya wananchi.
Comments
Post a Comment