Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanya ziara katika kanda Namba Tatu ya kukagua miradi ya maendeleo.

 

Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanya ziara katika kanda Namba Tatu ya kukagua miradi ya maendeleo.





Miradi iliyotembelewa ni Hospitali ya Jiji la Dodoma yenye ujenzi wa Jengo la Upasuaji wenye thamani ya shilingi 337,889,130 zilizoingizwa tarehe 30 Agosti, 2025. Mradi huo umefikia asilimia 38.
Mradi mwingine uliotembelewa ni pamoja na Jengo la Wodi ya Wanawake lenye thamani ya shilingi 252,426,200 na ujenzi wa jengo la kufulia lenye thamani ya shilingi 209,684,670.









Comments

Popular Posts

Agenda ya Lishe yaongeza Ari ya usomaji S/M Dodoma Makulu

Miaka minne ya Dkt. Samia, Kizota yanufaika mikopo ya asilimia 10

Halmashauri ya Jiji la Dodoma Kuhudumia Majimbo Mawili ya Uchaguzi