"Lakini kwenye uwezeshaji Wananchi kiuchumi tunapoliangalia kundi la Maendeleo ya Jamii,tunaona kuwa ni watu ambao wanatakiwa kuona mabadiliko ya kijamii kwa ujumla ya kiuchumi yanatokea kutokana na kazi zao".

Ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule wakati akifungua kikao kazi cha siku 2 cha Maafisa Maendeleo ya jamii kutoka Halmashauri zote za Mkoa wa Dodoma.

Comments

Popular Posts

Agenda ya Lishe yaongeza Ari ya usomaji S/M Dodoma Makulu

Miaka minne ya Dkt. Samia, Kizota yanufaika mikopo ya asilimia 10

Halmashauri ya Jiji la Dodoma Kuhudumia Majimbo Mawili ya Uchaguzi