Matukio katika Picha DC Shekimweri akikagua mabanda ya maonesho katika Siku ya Wadau wa Elimu Jiji la Dodoma






Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akitembelea mabanda ya maonesho kabla ya kuingia ukumbini kwa ajili ya Kikao cha Wadau wa Elimu Jiji la Dodoma na uzinduzi wa Mfuko wa Lishe shuleni uliofanyika katika ukumbi wa Vijana jijini Dodoma






 

Comments

Popular Posts

Agenda ya Lishe yaongeza Ari ya usomaji S/M Dodoma Makulu

Miaka minne ya Dkt. Samia, Kizota yanufaika mikopo ya asilimia 10

Halmashauri ya Jiji la Dodoma Kuhudumia Majimbo Mawili ya Uchaguzi