Mahitaji Maalumu Hombolo Bwawani wakumbukwa

 

Walimu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametembelea Kitengo cha Watoto Wenye Mahitaji Maalum katika Shule ya Msingi Hombolo Bwawani na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa watoto hao.


Ziara hiyo imelenga kuonesha upendo, kujali na kuimarisha ushirikiano katika kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalum kupata mazingira bora ya kujifunzia na kukua.

 




Comments

Popular Posts

Timu ya Watumishi Jiji la Dodoma inayoshiriki SHIMISEMITA yatakiwa kurejea na ushindi

Timu ya Watumishi Jiji la Dodoma waagwa kuelekea SHIMISEMITA

Jiji la Dodoma laaga Timu ya Watumishi kuelekea SHIMISEMITA Mbeya