Maelfu ya wananchi wa viunga vya Jiji la Dodoma wajitokeza kwa wingi katika kuadhimisha Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi
Maelfu ya wananchi wa Jiji la Dodoma na viunga vyake wajitokeza kwa wingi katika kuadhimisha Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma
Comments
Post a Comment