Waziri Kikwete kufungua Wiki ya Kitaifa ya Utumishi wa Umma 2026

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete Jumatano tarehe 17/06/2026 anatarajiwa kufungua Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 kwenye Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma.



Kaulimbiu ya Mwaka 2026 ni “Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Maendeleo Endelevu

Comments

Popular Posts

Timu ya Jiji la Dodoma yajinoa kuelekea SHIMISEMITA Mbeya, 2026

Mtakwimu Mdoya mbabe Mchezo wa Drafti

Dodoma Jiji FC yatangaza benchi la ufundi msimu wa 2025/2026