Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Vincent Odero (katikati) akitoa maelekezo kwa Mchumi, Francis Kaunda (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Usafi na uthibiti taka ngumu, Dickson Kimaro (kulia) katika zoezi la usafi wa mazingira kuelekea maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani zoezi lililofanyika katika Soko la wazi la Machinga

 









Comments

Popular Posts

Jiji la Dodoma lashauriwa kulinda hadhi ya Makao Makuu ya Nchi

Afisa Biashara Arusha apongeza ukuwaji wa Biashara wa Jiji la Dodoma