Watumishi wa Kanda Namba Tatu watembelea Zahanati ya Soweto
Watumishi wa Kanda Namba
Tatu watembelea Zahanati ya Soweto jijini Dodoma ambayo imekamilika na imeanza
kufanya kazi. Zahanati hiyo inajumuisha jengo la huduma ya wagonjwa wa nje
(OPD), chumba cha daktari, chumba cha kujifungulia wanawake, maabara na huduma
ya mama, baba na mtoto.
Uwepo wa zahanati hiyo ni
kusogeza huduma karibu na wananchi ambao walikuwa wanatembea umbali mrefu
kufuata huduma za afya katika Kituo cha Afya Zuzu au kwenda Hospitali ya Mkoa
General
Comments
Post a Comment