Wakili Kipangula asisitiza weledi taaluma ya habari

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula ametembelea banda la Halmashauri ya Jiji la Dodoma katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, 2026 yanayoendelea jijini Dar es Salaam na kusaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na halmashauri hiyo pamoja na fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo jijini Dodoma.



Akiwa katika banda hilo aliwataka maafisa habari wa serikali kusimamia misingi ya uandishi wa habari kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma hiyo.

Comments

Popular Posts

Kata ya Matumbulu wanufaika na Mil. 114.7 Maadhimisho ya Samia Day

Samia Day 2026 yaibua vipaji vya michezo Kata ya Matumbulu

Tani 1,750 za taka zasafirishwa hadi Dampo la Chidaya Dodoma