| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Fredrick Shoo ikiwa ni kwa ajili ya jitihada
zake za kuleta Maendeleo nchini wakati wa Maadhimisho ya miaka 60 ya
Kanisa hilo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani
Arusha |
Comments
Post a Comment