Posts

Showing posts from March, 2024

Jiji la Dodoma lapata hati safi miaka mitatu mfululizo

Image
Na. Dennis Gondwe, DODOMA HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma inajivunia kupata hati safi kwa miaka mitatu mfululizo kutokana na ushirikiano uliopo baina ya wataalam na Baraza la Madiwani katika kusimamia na kudhibiti matumizi sahihi ya fedha. Mkuu wa Kitengo cha Uhasibu na Fedha Halmashauri ya Jiji la Dodoma, CPA. David Rubibira alipokuwa akiongelea mafanikio ya serikali ya awamu ya sita Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Kitengo cha Uhasibu na Fedha Halmashauri ya Jiji la Dodoma, CPA. David Rubibira alipokuwa akiongelea mafanikio ya serikali ya awamu ya sita kwa miaka mitatu ofisini kwake. CPA. Rubibira alisema “kwa bahati nzuri kwa kipindi cha uongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekuwa ikipata hati safi kwa miaka mitatu mfululizo. Hati inaangalia maeneo yafuatayo. Ukaguzi wa hesabu zilizowasilishwa na ukaguzi wa vitabu vilivyofanya malipo, nyaraka, viambata vyote na mchakato wa ukusanyaji mapato kama ulizingatia sheria, kanuni na taratibu. Hivyo, h...

TEHAMA chachu ya ukusanyaji mapato Jiji la Dodoma

Image
Na. Dennis Gondwe, DODOMA Matumzi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma yamerahisisha shughuli za kutoa huduma kwa wananchi na kuongeza ukusanyaji wa mapato yakiziba mianya ya upotevu wa mapato. Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Joseph Fungo akifafanua jambo Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Joseph Fungo alipokuwa akiongelea mafanikio ya serikali ya awamu ya sita katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Fungo alisema “matumizi ya TEHAMA yamerahisisha sana shughuli za serikali za kutoa huduma kwa wakati na kwa urahisi kwa wananchi. Serikali ya awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeiwezesha Halmashauri ya Jiji la Dodoma upatikanaji wa fedha kwenye ujenzi na uboreshaji wa mifumo ya TEHAMA ikiwemo mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalam ili wawe na uelewa wa kutosha ...

Serikali yaboresha mazingira ya uwekezaji Jiji la DOdoma

Image
  Na. Dennis Gondwe, DODOMA Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imetengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji na kuwavutia wenye viwanda kuwekeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kukuza uchumi. Kaimu Mkuu wa Divisheni ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Abeid Msangi Kauli hiyo ilitolewa na Kaimu Mkuu wa Divisheni ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Abeid Msangi alipokuwa akiongelea mafanikio ya serikali ya awamu ya sita kwa kipindi cha miaka mitatu ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Msangi alisema kuwa kwa mazingira mazuri ya uwekezaji yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita, Halmashauri ya Jiji la Dodoma itaendelea kunufaika na uchumi wake kuanza kutegemea viwanda. “Katika kwenda sambamba na ongezeko la uwekezaji katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, tumejitika kufuata maelekezo ya Mpango Kabamba wa Jiji la Dodoma. Mpango huo umepanga m...

Shule ya Sekondari Michese kuwapunguzia umbali wanafunzi

Image
 

Mkuu wa Shule ya Mkonze afurahia shule mpya ya Sekondari Michese

Image
 

Mkazi wa Michese amuelewa Rais Samia

Image
 

Mwenyekiti wa Mtaa wa Mpamaa atoa shukrani kwa Mama Samia

Image
 

Mkuu wa Shule ya Sekondari Miyuji B atoa pongezi kwa Rais

Image
 

Mkuu wa Shule ya Sekondari Miyuji B aongelea faida ya shule

Image
 

Nukuu ya Mwl. Mwakisambwe akiwa Miyuji Sekondari

Image
 

Kauli ya Mwl. Fredrick Mwakisambwe Shule ya Sekondari Miyuji B

Image
 

Rais Dkt. Samia atoa shilingi 544,225,626 ujenzi shule ya Sekondari Michese

Image
Na. Dennis Gondwe, MKONZE RAIS, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha shilingi 544,225,626 kujenga Shule mpya ya Sekondari Michese ili kupunguza msongamano katika Shule ya Sekondari Mkonze na kuwapunguzia wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya elimu. Muonekano wa Shule ya Sekondari Michese Kauli hiyo ilitolewa na mwakilishi wa Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Mwl. Fredrick Mwakisambwe alipoongoza waandishi wa habari kutembelea Shule mpya ya Sekondari Michese iliyojengwa katika Kata ya Mkonze jijini Dodoma. Mwl. Mwakisambwe ambae ni Afisa Elimu Vifaa na Takwimu katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma alisema “ndugu waandishi wa habari, tupo Kata ya Mkonze eneo la Michese. Eneo hili ni moja ya maeneo yaliyonufaika na kujengwa shule mpya ya sekondari. Kata ya Mkonze ina idadi kubwa ya wananchi na kwa muda mrefu ilikuwa na shule moja ya sekondari ya kata. Mwaka huu 2024 idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika kata...

Ujenzi wa Shule ya Sekondari Miyuji B waweka historia

Image
Na. Mwandishi Wetu, SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka historia kwa kujenga Shule ya Sekondari Miyuji B na kuwasaidia wanafunzi waliokuwa wakitembelea umbali mrefu kufuata elimu katika Kata ya Mnadani. Mwl. Fredrick Mwakisambwe akielezea shule ya Sekondari Miyuji B Kauli hiyo ilitolewa na mwakilishi wa Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari, Mwl. Fredrick Mwakisambwe alipokuwa akiongea na waandishi wa habari waliotembelea shule hiyo kujionea mafanikio ya miaka mitatu ya serikali ya awamu ya sita katika Shule mpya ya Sekondari Miyuji B iliyopo Kata ya Miyuji jijini Dodoma. Mwl. Mwakisambwe ambae pia Afisa Elimu Vifaa na Takwimu katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma alisema kuwa shule hiyo imekamilika ikianza na wanafunzi wa kidato cha kwanza. “Ni mara ya kwanza katika hitoria ya Kata ya Miyuji kuwa na shule ya sekondari. Watoto wameteseka kwa muda mrefu kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya elimu. Tunamshukuru sana mheshimiwa Rais, Dkt....

JIJI LA DODOMA LAMPONGEZA MKURUGENZI JOHN KAYOMBO KUENDELEA KUAMINIWA NA RAIS, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Image
 

USAFI WA JUMAMOSI JIJI LA DODOMA

Image
 

BODI YA USAJILI WA WAHANDISI YAMPONGEZA RAIS, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Image
 

Ujumbe wa DAS Dodoma Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

Image
 

Wanawake Dodoma watakiwa kujishughulisha

Image
Na. Dennis Gondwe, MSALATO WANAWAKE wametakiwa kujishughulisha na shughuli za uzalishaji mali ili kuweza kukuza kipato cha familia na taifa kwa ujumla kutokana na fursa za kazi zilizopo katika Mkoa wa Dodoma. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Dodoma, Mwl. Neema Majula akiongea na wanawake waliohudhuria Kliniki Zahanati ya Msalato Kauli hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Dodoma, Mwl. Neema Majula alipokuwa akiongea na wanawake katika maadhimisho ya siku ya wanawake Kata ya Msalato yaliyofanyika katika Zahanati ya Msalato katika Kata ya Msalato. Mwl. Majula alisema kuwa kila mwanamke katika Mkoa wa Dodoma anatakiwa kujishughulisha ili kukuza kipato cha familia na taifa. “Ndugu zangu wakati mwingine ukatili wa kijinsia unatokana na kina mama kutokujishughulisha na uzalishaji mali katika ngazi ya familia. Hivyo, unyanyasaji unakuwepo kwa sababu kila kitu unamtegemea baba alete. Nata...

Msalato washauriwa kuwekeza kwenye Lishe ya watoto

Image
Na. Dennis Gondwe, MSALATO WAKAZI wa Kata ya Msalato wametakiwa kuwajenga watoto kiafya kwa kuwaandalia lishe bora ili kujenga taifa imara lenye uwezo wa kifikra na uchapaji kazi kwa ajili ya kuliletea maendeleo. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Dodoma, Mwl. Neema Majula Kauli hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Dodoma, Mwl. Neema Majula alipokuwa akiongea wakazi wa Kata ya Msalato kwenye maadhimisho ya kuelekea siku ya wanawake duninia ngazi ya kata yaliyofanyika katika Zahanati ya Msalato iliyopo Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Mwl. Majula alisema “ndugu zangu hali ya lishe ni muhimu sana kwa watoto wetu. Tunapoanza kuwajenga watoto hawa wadogo wawe na lishe bora ndiyo tunajenga kizazi bora cha taifa hili. Tunakuwa tunawekeza kwenye afya na akili za watoto ambao baadae wanapoendelea kukua watakuwa wachapa kazi na wenye uwezo mzuri wa fikra na hivyo, kujiletea maendeleo yao na...

Msalato wamshukuru Rais, Dkt. Samia ujenzi wa shule

Image
Na. Dennis Gondwe, MSALATO WANANCHI wa Kata ya Msalato iliyopo Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamemshukuru Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea shule mpya na kuwapunguzia wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu. Afisa Mtendaji Kata ya Msalato, Devotha Selufara akimuelezea Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan alichoifanyia Kata ya Msalato Shukrani hizo zilitolewa na Afisa Mtendaji Kata ya Msalato, Devotha Selufara alipokuwa akiwatambulisha wataalam wa kata yake katika Shule ya Msingi Chikole kwa mgeni rasmi Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Mkoa wa Dodoma. Selufara alisema “Shule ya Msingi Chikole ina wanafunzi 790 ilianza mwaka jana mwezi Julai. Baada ya kumaliza ujenzi ulioanza mwezi Aprili, 2023 kwa fedha ya mama Samia Suluhu Hassan aliyotupatia shilingi 318,800,000 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya msingi Chikole, ambapo tulijenga madarasa tisa, matundu 16 ya vyoo, jengo la utawala moja, tumefanikiwa kujenga madarasa ya chekechea ya mfano...