Kata ya Makole yabandika orodha ya wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Ofisi
ya Afisa Mtendaji Kata ya Makole imebandika orodha ya majina ya watu
waliojiandikisha kwenye orodha ya wapiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za
Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba, 2024
Comments
Post a Comment