Mtaa wa Nationa Housing na Makole wabandika orodha ya wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Wakazi wa Mtaa wa National housing na Makole, Kata ya Makole wamejitokeza katika ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Makole ili kuhakiki majina yao kama yametoka katika orodha ya wapiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024
Comments
Post a Comment