Maadhimisho ya Siku ya Afya na Lishe Mtaa wa Kawawa, Kata Matumbulu
Na. Mwandishi Wetu, MATUMBULU
Kata ya Matumbulu yaadhimisha Siku ya Afya na Lishe (SaLiKi) kwa mitaa ya Kawawa, Nyerere na Mwongozo.
Lengo ni kutoa elimu ya lishe na malezi ili kuepuka udumavu na magonjwa yasiyo ya kuambukizwa.
#Afya yako, Mtaji wako. Zingatia unachokula
Comments
Post a Comment