Jiji la Dodoma latembelea Studio za Dodoma FM kuelekea Siku ya Wanawake Duniani
Wataalam wa Maendeleo ya Jamii kutoka Jiji la Dodoma na wadau wakiwa katika Studio za Dodoma FM 98.4 kuelezea maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani chini ya Kaulimbiu isemayo
"WANAWAKE NA WASICHANA 2025, TUIMARISHE HAKI, USAWA NA UWEZESHAJI"
Comments
Post a Comment