Ziara ya Kamati ya Fedha na Utawala katika Kituo cha Afya Zuzu
Kamati ya Fedha na Utawala ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma (route 2) Naibu Meya, Fadhili Chibago ilifanya ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa ukamilishaji wa maabara tatu katika Shule ya Sekondari Zuzu iliyopo Kata ya Zuzu.
Mradi huo unagharama ya shilingi 85,000,000.00 fedha kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji.
Kamati ya Fedha na
Utawala ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma (route 2) Naibu Meya, Fadhili Chibago ilifanya
ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa ukamilishaji wa maabara tatu katika Shule
ya Sekondari Zuzu iliyopo Kata ya Zuzu.
Mradi huo unagharama ya shilingi 85,000,000.00 fedha kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji.
Comments
Post a Comment