Posts

Showing posts from November, 2024

Jiji la Dodoma washiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi ngazi ya mkoa

Image
  Baadhi ya wataalam wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza mwendo kuelekea Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kushiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika ngazi ya mkoa. Kaulimbiu ni " CHAGUA NJIA SAHIHI, TOKOMEZA UKIMWI "

Mtaa kinara upigaji kura

Siku ya Uchaguzi

Mtaa wa Mnyakongo Kata ya Nkuhungu wajitokeza kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Image
 

Mtaa wa Chang'ombe mstari wa mbele kupiga kura Kata ya Ihumwa

Image
 

Diwani Miyuji aongoza wakazi wa Mtaa wa Mwatano kupiga kura

Image
 

Wakazi wa Chang'ombe, Kata ya Ihumwa wajitokeza kupiga kura

Image
Wakazi wa Mtaa wa Chang'ombe, Kata ya Ihumwa wajitokeza mapema kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa leo katika Kituo cha Shule ya Msingi Msuguri

Matukio katika Picha Semina ya Wasimamizi wa Vituo vya kupigia kura katika Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la DOdoma uliopo Mji wa Serikali Mtumba

Image
Mhe. TheresianKiwango, Hakimu Mkazi  

Matukio katika Picha Dodoma Jiji Mtaa kwa Mtaa Uchaguzi Festival katika eneo la Swaswa Mnarani

Image