Jiji la Dodoma washiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi ngazi ya mkoa

 



Baadhi ya wataalam wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza mwendo kuelekea Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kushiriki maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika ngazi ya mkoa.


Kaulimbiu ni "CHAGUA NJIA SAHIHI, TOKOMEZA UKIMWI"












Comments

Popular Posts

Mvua za El Nino: DC Shekimweri awaasa wananchi wa Dodoma Kuchukua Tahadhari

Jiji la Dodoma Biashara saa 24, usafi saa 24

Wananchi Dodoma wahimizwa kufanya usafi wa Mazingira kila siku