| RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini wa Fedha za Mkopo kutoka kwa Benki ya NBC kwa kushirikiana na Benki ya NMB, kwa upande wa Benki ya NBC akisaini Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Ndg.Theobald Sabi (kulia kwa Rais) na kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akisaini Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Juma Malik Akili (kushoto kwa Rais) hafla hiyo ya utiaji wa saini iliyofanyika leo 14-7-2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu) |
Comments
Post a Comment