Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameshiriki kikamilifu katika ufunguzi rasmi wa Wiki ya Mei Mosi ambayo kitaifa inafanyikia mkoani Singida.

Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameshiriki kikamilifu katika ufunguzi rasmi wa Wiki ya Mei Mosi ambayo kitaifa inafanyikia mkoani Singida.

Aidha, ufunguzi huo umetanguliwa na maandamano salama ya watumishi kutokea taasisi, wizara na mashirika mbalimbali ya kiserikali na yasiyo yakiserikali.

Comments

Popular Posts

Jiji la Dodoma lapewa angalizo lishe bora kwa wananchi

RC Dodoma apongeza wafugaji kwa ushiriki wa Paredi ya Mifugo

Vijana waalikwa kushiriki Kongamano S/M Mbwanga