Alhaj Jabir Shekimweri aibukia Mtaa kwa Mtaa Uchaguzi Festival kuhamasisha wananchi kujiandikisha

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akiwahamasisha wananchi kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Tamasha la Mtaa kwa Mtaa Uchaguzi Festival katika Mtaa wa Swaswa Halmashauri ya Jiji la Dodoma





Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri (wapili kushoto) na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Sakina Mbugi (wa kwanza kushoto) wakishuhudia Tamasha la Mtaa kwa Mtaa Uchaguzi Festival katika Mtaa wa Swaswa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiorodhesha kwenye orodha ya wapiga kura.









 

Comments

Popular Posts

Mfumo wa Ufuatiliaji na Tathmini ni nyenzo ya utendaji kazi serikalini – Dkt. Biteko

JIJI LA DODOMA KUPELEKA MIL 50 ZAHANATI YA KIKUYU

WENZA WA VIONGOZI WASHAURIWA KUANZISHA BUSTANI ZA NYUMBANI