Timu ya Mpira wa Pete ya watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma yajipima na BOT

 






Timu ya Mpira wa Pete ya watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wakiwa katika mchezo wa kirafiki na timu ya watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania, mchezo uliochezwa katika uwanja wa Chuo cha VETA mkoani Singida.

Mchezo huo ulichezwa ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wa mashindano ya michezo ya watumishi kuelekea kilele cha Mei Mosi itakayofanyika kitaifa mkoani Singida.


Comments

Popular Posts

Agenda ya Lishe yaongeza Ari ya usomaji S/M Dodoma Makulu

Halmashauri ya Jiji la Dodoma Kuhudumia Majimbo Mawili ya Uchaguzi

Miaka minne ya Dkt. Samia, Kizota yanufaika mikopo ya asilimia 10